Abdalla Ahmed Mahmud is a contradiction in terms. He is always calm amid the organised chaos of revving engines, panel beating and general din of a busy workplace. Everyone here is older than him, but ...
The festival was intended to showcase various Land Rover models, including the classic 108, 109 and 110 Defenders, Range Rovers and Freelanders. The city of Arusha in northern Tanzania hosted the ...
Mfahamu Hassan Nasrallah aliyekuwa kiongozi wa kundi la Hezbollah la nchini Lebanon ambaye jina lake limegonga vichwa vya ...
Wakati maboresho ya daftari la mpigakura yakitarajia kuanza Oktoba 7 hadi 13, 2024, wapiga kura wapya 14,878 wanatarajiwa ...
Katika hali iliyotarajiwa, Iran imeishambulia kwa mabomu Israel usiku wa kuamkia leo Jumatano, Oktoba 2, 2024.
Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa ...
Gari la kampuni ya Iris lililoacha njia na kusababisha vifo vya watu wa wawili Pemba. Pemba. Watu wawili akiwemo mwalimu wa Shule ya Msingi Finya wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ...
Kaimu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Said Ali Mohamed akizungumza wakati wa kutoa taarifa za makusanyo ya robo ya kwanza ya mwaka 2024/25 ofisini kwake Unguja. Unguja. Mamlaka ya Mapato ...
Arusha. Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Oktoba 2, 2024. Picha na Rajabu Athumani Tanga. Siku tisa tangu yalipotokea mauaji ya Jonais ...
Dar es saalam. Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba Sport Club, Muharami Sultani (40) na wenzake, wanaendelea kusota rumande kwa siku 681 hadi sasa kutokana na upelelezi wa shauri hilo ...
Dar es Salaam. Serikali imepanga Oktoba 15, 2024 kuwasomea maelezo ya mashahidi na vielelezo (Commital Proceedings), aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande (66) ...